Mamia ya wakazi wa mtaa wa Tudor waandamana kupinga ujenzi wa nyumba za kisas
0
0
07/08/24
Mamia ya wakazi wa mtaa wa Tudor katika kaunti ya Mombasa wameandamana kupinga ujenzi wa nyumba za kisasa wakidai hawajahusishwa katika mradi huo. Mradi huo unanuia kujenga upya makao ya zamani yanayomilikiwa na serikali ya kaunti huku zaidi ya nyumba 900 zikilengwa kuvunjwa.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par