Suivant

Mamlaka ya kudhibiti kawi na petroli yatangaza kupunguzwa kwa bei za petroli dizeli na mafuta ya taa

15/03/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Mamlaka ya kudhibiti kawi na petroli imetangaza kupunguzwa kwa bei za petroli, dizeli na mafuta ya taa, kwa mara ya kwanza tangu mwezi Agosti mwaka jana, mafuta ya petroli yameshuka chini ya shilingi mia mbili jijini Nairobi ambayo ni bei ya chini kabisa kushuhudiwa kwa muda wa miezi kadhaa sasa. Wakenya wana imani kuwa kupungua huko kutachangia kupungua kwa bei ya bidhaa nyingine muhim

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant