Suivant

Masaibu ya kupambana na msongo wa mawazo wakati wa ujauzito kwa wasichana wenye umri mdogo

26/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Vijana wajawazito nchini Kenya wameripotiwa kupambana na changamoto za msongo wa mawazo, huku utafiti ukionyesha kuwa kizuizi kikuu ni kupata huduma za afya ya akili. Familia ya Anne mwenye miaka 16, ambao bado wanaomboleza kifo cha binti yao, ambaye wanasema alipambana na msongo wa mawazo wakati wa ujauzito wake, hali ambayo huenda ingeepukika.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant