Matibabu kwa waathiriwa wa mlipuko wa gesi
0
0
04/02/24
Serikali ya kaunti ya Nairobi imepuuzilia mbali ripoti kuwa waathiriwa wa mkasa wa mlipuko wa gesi katika mtaa wa Embakasi hawakupata matibabu ilivyostahili. Kulingana na maafisa kutoka idara ya afya katika kaunti ya Nairobi, hakuna vifo vilivyoripotiwa katika vituo vyovyote vya afya vya kaunti, ambavyo hadi sasa vimewahudumia zaidi ya waathiriwa 200
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par