Suivant

Mauaji : Mgonjwa wa Akili Akamatwa kwa Kumchinja Mtoto Wake na Kumla Nyama

14/03/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mwanamke anayesadikiwa kuwa na tatizo la akili, Nyasorodi Paul (38-40) Mkazi wa Kijiji cha Mishepo kwa tuhuma ya kumuua mtoto wake mwenye umri wa Mwaka mmoja na miezi saba kwa kumchinja na kumla nyama. Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeth magomi, amethibitisha kutokea tukio hilo. Imeandaliwa na Salvatory Ntandu. #Cloudsdigital

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant