Mazungumzo na mkurugenzi mtendaji Esther Waringa- Mwanamke na uongozi
0
0
15/07/24
Kuna haja ya kubadilisha mbinu za uongozi nchini ili kuepuka migogoro baada ya ya uchaguzi mkuu. Esther Waringa ambaye ni mkurugenzi mtendaji na pia mwanzilishi wa utawala wa utumishi wa umma anapendekeza mfumo wa kutofanya uchaguzi mkuu na kuchagua viongozi kulingana na uadilifu wao kuepuka gharama na hadaa za wanasiasa wafisadi. Katika makala ya mwanamke na uongozi ya kila jumapili ndiye mgeni wetu na anaeleza nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi ujao na ari yake ya kuaminisha uongozi wa viongozi wa kike niwakupigiwa upatu.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par