Suivant

MBUNGE APIGA MAGOTI NA KUMWAGA MACHOZI AKIOMBA MAJI JIMBONI

10/01/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amemwaga machozi na kisha kupiga Magoti mbele ya Waziri wa Maji Jumaa Aweso huku akimuomba aharakishe ujenzi wa mradi wa maji ya Ziwa Victoria ili kuwawezesha wananchi wa Ushetu kapata maji safi na salama.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant