Suivant

Mbunge wa Gatundu kusini Gabriel Kagombe ameachiliwa baada ya kulipa dhamana ya shilinglioni moja,

31/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Mbunge wa Gatundu kusini Gabriel Kagombe ameachiliwa baada ya kulipa dhamana ya shilingi milioni moja, katika kesi ambayo amedaiwa kumpiga risasi na kumuua mwendeshaji bodaboda huko thika mjini. Hilo linawadia huku mahakama ya milimani ikimwachilia Ian Njoroge, mwanafunzi aliyedaiwa kumpiga afisa wa polisi eneo la Mirema akiachiiliwa kwa bondi ya shilingi 700,000.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant