Suivant

Mchakato wa kubandua magavana

03/09/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Kamati ya sheria na haki katika seneti JLAC sasa inapania kuweka muda wa mahakama kuskiliza na kuamua kesi inayopinga kuondolewa ofisini kwa gavana. Aidha washikadau mbali mbali akiwemo katibu mkuu wa masuala ya ugatuzi teresia mbaika wanataka sheria ya kubanduliwa kwa magavana ikarabatiwe na haswa wawakilishi wadi wanaounga mkono hoja ya kumuondoa ofisini gavana wanakili nambari zao za vitambulisho. Utata hata hivyo umeibuka kuhusu ni muda upi ambao hoja ya kumuondoa gavana inaweza kuwasilishwa

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par