Mhandisi Mwanaisha: Awachana TRA I Tunaliua Taifa kwa Kuendekeza Urafiki I Halima Mdee Kumlinda
0
0
04/06/24
“Wakina nani wanafanya under invoice hamwajui, wakina nani wanafanya under declaration hamwajui..” Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga Mhe. Mhandisi Mwanaisha Ulenge, wakatgi anachangia bajeti ya Wizara ya fedha kwa mwaka wa fedha 2024/2025 amesema ana uhakika Waziri wa fedha kwanini wananchi wanamwamko mdogo wa kulipa kodi, lakini pia ana uhakika kwanini miamala inafichwa na taarifa za wafanyabiashara. Endelea kuperuzi kwenye mitandao yetu ya kijamii @cloudstv @cloudsfmtz na akaunti ya Youtube “Clouds Media” kwa updates zote. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par