Suivant

Mkenya George Odhiambo aondoa kesi katika mahakama kuu bila ya kupeana sababU

30/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Mkenya George Odhiambo aliyewasilisha kesi ya kupinga nyongeza ya ushuru wa barabara kwa shilingi saba unaokusanywa kwa kila lita ya mafuta ameondoa kesi hiyo katika mahakama kuu bila ya kupeana sababu. Hii inamaanisha agizo la mahakama kuu la kusitisha nyongeza hiyo limetupiliwa mbali na sasa ushuru huo utaendelea kutozwa wakenya. Uamuzi wa mahakama wa kuruhusu kuondolewa kwa kesi hiyo unakosolewa kwani huenda aliyewasilisha kesi kwa niaba ya umma ameshurutishwa au hata kutishiwa na hivyo angelazimishwa kutoa sababu kamili. licha ya hayo, mkenya yeyote anaweza kufungua kesi nyengine.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant