Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi amewataka wakenya kuwa na matumaini
0
0
26/12/23
Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi amewataka wakenya kuwa na matumaini ili kuipa serikali moyo haswa wakati huu ambapo taifa linapitia changamoto za uchumi ambazo anadai wamerithi kutoka kwa serikali iliyopita. naye spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula amewahimiza wakulima kutia bidii zaidi ili kupiga jeki uchumi wa taifa
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par