Suivant

MLIMA WA KIFO | MLIMA EVEREST UMEUWA ZAIDI YA WATU 330 .

29/08/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Mlima Everest unarekodi ya vifo kila mwaka sio chini ya watu watatu, lakini watu zaidi 8000 wamerekodiwa kupanda mlima Everest na watu zaidi 5000 wamefika kileleni kabisa. kupanda milima ni hatari kama utofata maelekezo ya wataalamu.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant