Suivant

Msukosuko wazuka ndani ya Azimio baada ya ODM kukubali rasmi kuingia serikalini

19/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Msukosuko umezuka ndani ya muungano wa Azimio baada ya ODM kukubali rasmi kuingia serikalini. licha ya pingamizi kutoka vyama tanzu wa muungano chama hicho kimeonekana kuuunga mkono ndoa mpya huku duru zikiarifu hakuna tena azimio japo tangazo la kuwajulisha wakenya halijafanywa.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant