Suivant

Mswada wa fedha wapingwa vilabuni

23/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Wimbi la maandamano dhidi ya mswada wa fedha 2024 liliangukia vilabu ,mamia ya wakenya wakiongozwa na chipukizi wa Gen Z walipeleka wakipeleka harakati za kuupinga mswada wa fedha katika sehemu za burudani, na kwa sauti moja walipinga mswada huo kwa nyimbo na densi wakiutaja kuwa dhalimu wengine wakichukua nafasi hiyo kupaza sauti ya kumtaka rais William Ruto kuondolewa mamlakani.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant