Suivant

MTAALA MPYA WA KIDATO CHA TANO KUHAIRISHWA | MABADILIKO KATIKA ELIMU INASAIDIA WANAFUNZI KUJITEGEMEA

29/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Hata sisi tumesikia hilo tangazo la kuhairisha kwa utekelezaji wa mtaala mpya ni mtaala ambao umeandaliwa tangu mwaka 2023. "Kwanza tumesikitika hasa kwa wale wanafunzi ambao walikuwa wamejiandaa kwa sababu nakumbuka mwezi wa tatu Waziri wa TAMISEMI alitoa tangazo la kwamba kutakuwa na tahasusi mpya itakayoanza kuanzia mwezi wa saba kwa vyovyote vile wapo wanafunzi waliochagua hizo tahsusi na wamefika shuleni na wamekutana na hali hiyo kwahiyo sasa lazima wafanye uchaguzi mwingine kwahiyo ni jambo ni jambo ambalo linasikitisha"- Dr Wilberforce Meena, Mshauri mwelekezi Haki Elimu

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant