Suivant

Musalia ,Mudavadi adai Chebukati ana uwezo wa kuwa Jaji mkuu

05/02/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC Wafula Chebukati ana uwezo wa kuwa jaji mkuu kabla ya uchaguzi wa mwaka elfu mbili ishirini na saba iwapo atawasilisha ombi la kuwa jaji. Hii ni kulingana na mkuu wa mawaziri musalia mudavadi ambaye ameutaka muungano wa Azimio kusita kuhitilafiana na uhuru wa tume ya huduma za mahakama JSC baada ya kuibua madai kuwa ipo njama ya chebukati kuwa jaji mkuu. Aidha vilevile rais William Ruto amedai kuwa kinara wa Azimio Raila Odinga anaunga mkono mradi wa nyumba za bei nafuu.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant