Suivant

Muungano wa ABAK watoa wito kwa serikali kutathmini upya ushuru unaopanga kutoza mivinyo

05/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Muungano wa watengenezaji pombe nchini ABAK umetoa wito kwa serikali kutathmini upya ushuru unaopanga kutoza mivinyo , ukihofia kuwa ongezeko hilo litachangia matumizi ya pombe ghushi katika soko hilo. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa ABAK, Eric Githua, takriban asilimia 59 ya pombe kali ni ghushi, na iwapo mswada wa fedha wa 2024 utapitishwa jinsi ulivyo, basi usambazaji wa pombe isiyofaa utaongezeka hadi asilimia 70.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant