Suivant

Muungano wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma watoa ilani ya mgomo wa wafanyakazi kote nchini

15/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Muungano wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma umetoa ilani ya mgomo wa wafanyakazi kote nchini endapo serikali haitatatua changamoto zao ndani ya siku saba. Kulingana nao wafanyikazi hawajapata mishahara yao huku wengine wakipokea kiwango kidogo cha fedha. pia wamepinga vikali mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu kwa kuwa haunufaishi vyuo vikuu.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant