Suivant

Mwalimu Nyerere alitaka kurudisha kadi ya uanachama | Ukiwa Waziri Mkuu huwezi kuwa Rais

21/06/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Nadharia nyingine ambayo ilimfanya Kikwete akose Urais mwaka 1995 ni Edward Lowassa. Tumeisimulia kwenye kitabu. Lowassa baada ya kukatwa ilivuja taarifa kwamba atakayekuwa Waziri Mkuu baada ya Kikwete kuwa Rais ni Edward Lowassa na hapo ndipo ambapo nadharia ilianza kuzunguuka kwamba Mwalimu Nyerere alikwazwa na hizo taarifa. "Na hizo taarifa tumemnukuu mtu ambaye alikuwa ni mwandishi mashuhuri lakini pia alikuwa team Benjamin Mkapa mwaka 1995. Ametusimulia jinsi ambavyo alivyoitwa akaambiwa kwamba kijana (Kikwete) amekosea, kwamba walimkata Lowassa akaona wao hawana maana anawatangazia vijana kwamba Lowassa atakuwa Waziri Mkuu wake"- @luqmanmaloto- Mwandishi Wa Kitabu cha KIKWETE LOWASSA, Urafiki, Ndoa ya kisiasa, Uadui.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant