Mwanamuziki wa Jamaica anayejulikana kwa jina la Etana atua Kenya
0
0
05/12/24
Mwanamuziki wa Jamaica Shauna Mackenzie anayejulikana kwa jina la Etana ametua Kenya hii leo tayari kwa tamasha ya muziki la good vibes. Etana anatarajiwa kuwatumbuiza mashabiki wake katika maeneo tofauti nchini kuanzia Ijumaa. Tamasha kuu limepangwa kuwa keshokutwa jumamosi kwenye uga wa Jamhuri.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par