Suivant

Mwanasiasa Cleophas Malala awaanika Gavana Mbarire na mbunge wa Kikuyu Kimani Ichungwah

16/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Mwanasiasa Cleophas Malala aliyebanduliwa kama katibu mkuu wa chama cha UDA sasa amewaanika gavana wa Embu Cecily Mbarire na mbunge wa Kikuyu Kimani Ichungwah kama waliopanga njama ya kumbandua. Malala anadai kuwa masaibu yake yalianza alipokataa kuunga mkono hoja ya kumbandua ofisini naibu rais Rigathi Gachagua ambaye ana uhusiano wa karibu naye. Malala sasa amewasilisha malalamiko yake mbele ya kamati ya kutatua migogoro ya chama hicho huku akimtaka msajili wa vyama asifanye mabadiliko zaidi kuhusu uongozi wa chama tawala.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant