Suivant

Nabu Rais Gachagua ataka Jaji Esther Maina afutwe kazi

15/01/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Jaji mkuu Martha Koome sasa ametakiwa kuweka wazi ni kesi ngapi zimewasilishwa dhidi ya majaji wa idara ya mahakama na uchunguzi umefikia wapi baada ya kujitokeza kutetea idara hiyo kufuatia madai kutoka kwa serikali kuu. Aidha naibu rais Rigathi Gachagua amejitolea kuwa wa kwanza kupeana ushahidi dhidi ya jaji esther maina wakati atawasilisha mchakato wa kumwondoa ofisini alhamisi. Maelezoa jinsi vilevile chama cha mawakili nchini LSK kimekashifiwa kwa kuchagua ni masuala yepi kitalaani.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant