Naibu Gachagua ataka tume ya IEBC ibuniwe upesi
0
0
09/12/24
Mchakato wa serikali kutakiwa kubuni tume ya kusimamia uchaguzi na mipaka IEBC ukigeuka kuwa mjadala nchini, naibu rais aliyeng’atuliwa Rigathi Gachagua ametaka tume hiyo ibuniwe upesi. Gachagua ambaye aliisuta serikali kwa kutowaskiza wananchi, alihofia kuna njama fiche kuhusu usukaji upya wa tume ya IEBC
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par