Suivant

Naibu Gachagua awakashifu vikali viongozi wa kisiasa ambao waliingilia maandamano ya vijana

27/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Naibu rais Rigathi Gachagua amewakashifu vikali viongozi wa kisiasa ambao waliingilia maandamano ya vijana wa kizazi cha Gen Z na kusababisha uharibifu. Gachagua amedai kuwa viongozi hao walichukua fursa ya vijana hao ili kulipiza kisasi kisiasa. Gachagua pia amesema kuwa kuteuliwa kwa baraza jipya la mawaziri ni ushindi kwa taifa la Kenya.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant