Suivant

Naibu Gachagua awataka wakenya kuwa na utulivu baada ya bunge kupiga kura ya kumng’atua ofisini

14/10/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Naibu rais Rigathi Gachagua amewataka wakenya kuwa na utulivu baada ya bunge la taifa kupiga kura ya kumng’atua ofisini. Gachagua ameendelea kusisitiza kuwa watu wachache hawawezi kuruhusiwa kubatilisha uamuzi wa mamilioni ya wakenya, bunge la seneti likitarajiwa kuskiliza kungatuliwa kwake jumatano na alhamisi wiki hii.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant