Suivant

Naibu rais Gachagua aendelea kukashifiwa na baadhi ya viongozi

28/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Naibu rais Rigathi Gachagua anaendelea kukashifiwa na baadhi ya viongozi nchini baada ya kumshambulia mkurugenzi mkuu wa idara ya taifa ya ujasusi, Noordin Haji na kumtaka ajiuzulu kwa kushindwa kumpa rais ushauri kwa wakati unaofaa. Msimamo wa Gachagua ulifuatia taswira ya maandamano nchini dhidi ya mswada wa fedha ambao sasa rais ameutaka ufutiliwe mbali.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant