Suivant

Najib Balala asema hahusiki na kashfa ya shiingi bilioni 8.5

25/12/23
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Aliyekuwa waziri wa utalii Najib Balala sasa amejitetea kuhusiana na kuhusishwa kwake kwenya sakata ya shilingi bilioni 8.5 za ujenzi wa chuo cha utalii cha Ronald Ngala katika kaunti ya Kilifi. Kulingana na barua kutoka kwa mawakili wake iliyoandikiwa mkuu wa mashtaka ya umma, Balala ameeleza kuwa hakuwa waziri wakati ambapo mradi huo uliidhinishwa mwaka wa 2007 na vilevile wakati wa kuanzishwa ambapo zabuni ya bilioni nane nukta tisa ilipewa kampuni ambazo maafisa wake wameshtakiwa mahakamani kwa ufisadi.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant