Suivant

Nchakali: Tunataka Kuhakikisha Ndoto za Vijana wa VOH Zinafanikiwa I Taifa ni Mjumuiko wa Ndoto...

06/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

"Ndoto za Taifa ni sisi kuendeleza azma yetu kama Clouds ya kuwafungulia Dunia Watanzania. Hii ni project maalumu ambayo tunashirikiana na Voice of Hope Tanzania. Hii ni Taasisi ambayo imekuwa inawalea watoto ambao wametoka kwenye mazingira magumu, wanaishi kwenye maisha hatarishi na inawapa nafasi ya kukua katika malezi mazuri, kuwasomesha, kuwalea hadi watimize ndoto zao kwa sababu Taifa hili ni mjumuiko wa ndoto mbalimbali kutoka matabaka mbalimbali tukiungana tunatengeneza Tanzania tunayoiona leo hii" - Mkuu wa Ubunifu na Mkakati Clouds Media Group @nchakalih #LiveOnClouds360 #CloudsTvNiMkataba

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant