Suivant

Ndege za Rais Ruto zaibua gumzo

17/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Rais William Ruto amerejea nchini baada ya ziara yake katika taifa la Italia na uswizi alikohudhuria kikao cha mataifa ya G7 na mkutano wa amani wa taifa la Ukraine mtawalia. Hata hivyo hatua ya rais kutumia ndege ya shirika la kitaifa la uchukuzi wa anga Kenya Airways kurudi nchini limeibua gumzo mitandaoni. Hii ni baada ya kuibuka kwamba rais alitumia ndege ya kibinafsi katika ziara hiyo licha ya shutuma zilizofuata ziara yake ya marekani baada ya kutumia ndege ya kibinafsi.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant