Suivant

Nilihukumiwa Kunyongwa Mpaka Kufa Sasa Nipo Huru, Nimepata Mume - Rose FULL INVERVIEW

06/03/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Ni story ya Rose Yona Malle aliyepitia mtihani mgumu uliopelekea kufungwa kifungo cha kunyongwa hadi kufa lakini baada ya miaka 6 kuachiwa huru. Ilikuwaje akahukumiwa ? chanzo cha kesi yake na imekuwaje kuachiwa huru ? Leo atakuwa live kwenye #LeoTena pamoja na mumewe ambaye walikutana gerezani kuanzia saa nne kamili asubuhi. Cc. @dahuuofficial @geahhabib @mwijaku @josemarah

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant