NYUMBA ZA WATHIIKA WA HANANG ZA KAMILIKA
0
0
31/12/24
Bibi ambaye ni mmoja ya waathirika wa janga la maporomo ya udongo Disemba 3. 2023 akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Rais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni baada ya kukabidhiwa nyumba mpya kati ya 109 zilizokabidhiwa kwa wahanga na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Cc @kijahyunus #Clouds360 #AsanteKwaTafuu
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par