ODM yakana madai kuwa itamuunga Ruto 2027
0
0
09/01/25
Katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna amepuuzilia mbali madai kuwa chama cha ODM kitaunga mkono rais William Ruto katika ari yake ya kusalia ikulu mwaka wa 2027. Sifuna ameshikilia wanachama wanaouzunguka wakidai kuwa ODM Itashirikiana na kenya kwanza wanafanya hivyo kinyume na matarajio ya kinara wao aliyesema kuwa chama hicho kitaweka mgombea katika uchaguzi. Mzozo ndani ya chama umepuuziliwa mbali na kutajwa tu kama tofauti za maoni
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par