Suivant

PLAN INTERNATIONAL YAZINDUA TENA KAMPENI YAO YA SIKIA SAUTI ZETU

30/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

"Hivi sasa, huko New York dunia inazungumzia mustakabali wa ulimwengu kwa miaka 25 ijayo. Kama taifa ni muhimu tukaongeza jitihada na kuwekeza zaidi kwa watoto na vijana, kwanza kwa kuboresha mifumo na upatikanaji wa elimu lakini pia, uwepo wa fursa za kiuchumi kwa vijana hasa wa kike." - Jane Sembuche, Mkurugenzi Mkazi, @plan_tanzania

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant