Suivant

Polisi wakamata washukiwa watatu waliobeba bidhaa za magendo kutoka nchi jirani ya Somalia.

26/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Polisi kaunti ya Garissa wanazuilia magari matatu aina ya toyota probox na kuwakamata washukiwa watatu waliokuwa wamebeba bidhaa mbali mbali zinazodaiwa kuwa za magendo kwenye barabara ya Modogashe – Garissa. Washukiwa wanadaiwa kutoka nchi jirani ya Somalia.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant