Suivant

Polisi wanawazuilia wageni wawili kutoka Nigeria kwa Uchunguzi dhidi ya mauaji ya Rita Waeni.

22/01/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Raia wawili kutoka nchini Nigeria wametiwa mbaroni na wanazuiliwa kwa kuhusishwa na mauaji ya kikatili ya Rita Waeni aliyeuawa eneo la TRM drive, mtaani Kasarani, NRB. Makachero wamepewa siku nane kuwazuia raia hao kwa uchunguzi. Yakijiri haya polisi wanasubiri uchunguzi wa DNA kubaini iwapo kichwa kilichotambuliwa huko kiambaa ni cha mwendazake Rita Waeni.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant