Suivant

Polisi wathibitisha kuwa mwanaume mmoja na mke wake waliishi na mwili kwa takriban wiki tatu

07/03/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Hali ya taharuki imetanda katika eneo la YMCA, Nakuru mashariki baada ya maafisa wa polisi kuthibitisha kuwa Boniface Mungai pamoja na mke wake waliishi na mwili wa dadake kwa takriban wiki tatu bila kuripoti katika kituo chochote cha polisi wakitumaini kuwa atatafufuka. Mwili wa Rose Wahu aliyekuwa na umri wa miaka 60 ulipatikana kitandani nyumbani walikoishi ukiwa umeharibika. familia na majirani wamestaajabishwa na tukio hilo huku upelelezi wa kubaini kifo cha wahu ukianza.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant