Raila amtahadharisha Martha Koome dhidi ya kukutana na Ruto
0
0
18/01/24
Kinara wa muungano wa Azimio Raila Odinga amesisitiza kuwa serikali kuapa kupuuza maamuzi ya mahakama ni kuhujumu demokrasia . Aidha Raila amesema kikao kati ya serikali na mahakama sio suluhu ya malumbano yaliyochochewa na rais Ruto kushutumu idara hiyo kwa ufisadi bali kutayumbisha uhuru wa mahakama.akiongea katika kaunti ya bungoma kupigia debe ODM Odinga amesema kuwa serikali inapaswa kufuata utaratibu wa sheria iwapo hawajaridhishwa na korti
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par