Suivant

Raila apasua mbarika kuhusu mkutano wake na Rais Ruto pamoja na Rais Yoweri Museveni wa Uganda

29/02/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Kinara wa muungano wa Azimio Raila Odinga amepasua mbarika kuhusu mkutano wake na rais William Ruto pamoja na rais Yoweri Museveni wa Uganda. Odinga amesema mkutano haukuwa umepangwa ila alieenda Uganda kutafuta kura ya rais Museveni. Odinga aliyezungumza katika kaunti ya Homa Bay ameshikilia kuwa haendi popote na kupuulizia mbali uwezekano wa mgawanyiko na kusambaratika kwa chama chake cha ODM na muungano wa Azimio kutokana na azma yake ya kuwania uenyekiti wa tume ya muungano wa afrika.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant