Suivant

Raila atarajiwa kuelekea Rwanda kumrai rais wa Rwanda Paul Kagame kuuunga mkono azma yake

05/03/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Kinara wa Azimio Raila Odinga anatarajiwa kuelekea Rwanda kumrai rais wa Rwanda Paul Kagame kuuunga mkono azma yake ya uenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika huku jitihada za kumtafutia umaarufu Odinga zikishika kasi. Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi katika kikao na mabalozi wa mataifa tofauti barani ametetea azma ya hiyo ya Raila . Kibarua cha dinga kuzirai nchi za afrika masahariki kimeongezeka baada ya Somalia kujiunga rasmi na jumuiya ya Afrika Mashariki huku wakiwa na mgombea wa kiti hicho

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant