Suivant

Raila avunja kimya chake kuhusu kuteuliwa kwa wanachama wanne wa ODM

26/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Kinara wa Azimio Raila Odinga amevunja kimya chake kuhusu kuteuliwa kwa wanachama wanne wa ODM kuwa mawaziri akisema hakufahamu kilichojiri na wala chama hicho au Azimio hakijajiunga na serikali ya rais william ruto. aidha kinachoibua maswali ni Odinga kuwatakia wanne hao kila heri akitumai watafanya kazi njema kwa serikali ya rais Ruto.Hata hivyo mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino amejitangaza kuwa kiongozi rasmi wa upinzani na kuwasuta wakuu wa ODM kwa kuwasaliti wakenya. mwanahabari wetu wa masuala ya kisiasa ana mengi.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant