Suivant

Raila piga abautani kuhusu mazungumzo ya kitaifa yanayopangwa na serikali ya Rais Ruto

22/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Aliyekuwa waziri mkuu na kiongozi wa Azimio Raila Odinga sasa amepiga abautani kuhusu mazungumzo ya kitaifa yanayopangwa na serikali ya Rais Ruto, hatua hii ikionekana kuonyesha kutokuwa na masimamo kwake haswa kwa swala hili la mazunguzmo.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant