Suivant

Rais Ruto aahidi kuhamishwa kwa huduma na idara zinazofaa kugatuliwa kwa serikali za kaunti

17/12/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Rais William Ruto ameahidi kufanikisha kuhamishwa kwa huduma na idara zinazofaa kugatuliwa kwa serikali za kaunti kwa mujibu wa katiba ili kufanikisha serikali za ugatuzi. Akizungumza katika kongamano la 11 la ushirikiano kati ya serikali ya kitaifa na zile za kaunti , Ruto hata hivyo amesema kucheleweshwa kwa mgao wa fedha kwa serikali za kaunti hakufai kuchukuliwa kama njama ya kudidimiza ugatuzi. Ruto amesema changamoto zitokanazo na hali ya taifa kukabiliana na madeni,mikopo , mzigo wa mishahara ya wafanyikazi wa umma na kukosa kuafikia viwango vya ukusanyaji ushuru kumechangia ucheleweshaji huo.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant