Suivant

Rais Ruto aendelea kutofautiana na naibu wa wake Rigathi Gachagua hasa katika maswala ya kitaifa

02/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Rais William Ruto ameendelea kutofautiana na naibu wa wake Rigathi Gachagua hasa katika maswala ya kitaifa wakati serikali ya kenya kwanza inapokabiliwa na changamoto tofauti ikiwemo maandamano ya vijana. Katika mahojiano ya hiyo jana rais alionekana kukanusha madai ya naibu wake kwamba kitengo cha ujasusi nis kilizembea katika utendakazi wake na kusababisha maafa wakati wa maandamano. Ripoti za ujasusi zilisaidia pakubwa kukabili maandamano hayo

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant