Suivant

Rais Ruto aendelea na ziara ya Pwani ya siku nne

26/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Wavuvi 2500 kutoka kaunti za Pwani waliosomea unahodha wa boti hii leo wamepokezwa vyeti vyao na rais William Ruto. Hii ikiwa njia moja wapo ya kuimarisha sekta ya uvuvi kwa kuwawezesha wavuvi hao kutumia vifaa vya kisasa katika uvuvi wao. Kuhusu ziara ya Pwani ya rais Ruto ambayo pia inajumuisha kupigia debe uteuzi wa mawaziri aliofanya.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant