Suivant

Rais Ruto alaumu upinzani kwa kuhujumu ajenda za serikali

02/01/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Rais William Ruto ameonyesha matumaini makubwa kwamba mwaka huu mpya wa 2024 utakuwa wenye maendeleo mazuri kwa taifa. Katika hotuba yake ya kwanza ya kuvuka mwaka mjini nakuru, rais Ruto amewahakikishia wakenya kwamba taifa liko kwenye mkondo mzuri katika kujikwamua kiuchumi huku akikosoa upinzani kwa kuhujumu agenda kuu za serikali. Rais pia alielekezea kidole cha lawama idara ya mahakama kwa baadhi ya maamuzi aliyosema yanazuia utekelezaji wa sera za serikali.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant