Suivant

Rais Ruto aonya viongozi na watu binafsi dhidi ya kuteka nyara mpango wa kusafisha mto Nairobi

17/09/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Rais William Ruto ameonya viongozi na watu binafsi dhidi ya kuteka nyara mpango wa serikali kusafisha mto Nairobi na kulaghai wakenya wanaotafuta ajira hasa vijana akitaka visa kama hivyo kurpotiwa kwake moja kwa moja. Rais Ruto aliyeongoza ujmbe wa serikali kwenye mkutano na maafisa wa serikali kaunti ya Nairobi ameapa kufanya kila juhudi kurejesha hadhi ya mto nairobi ila anahofia huenda wafisadi wakatumia fursa ya kuajiri vijana elfu ishirini kujinufaisha. Mkutano huo ulihudhuriwa na naibu rais Rigathi Gachagua siku moja baada ya tetesi kwamba rigathi alisusia mkutano wa rais kaunti ya nyeri.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant