Rais Ruto asema kuwa vyuo vikuu vya umma vitamaliza madeni ya shilingi bilioni 120
0
0
07/12/24
Rais William Ruto amesema kuwa ndani ya miaka mitatu ijayo, vyuo vikuu vya umma vitamaliza madeni ya shilingi bilioni 120 kufuatia kutekelezwa kwa mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu. licha ya mfumo huo kusitishwa na mahakama hadi kesi iliyowasilishwa itakaposikilizwa, Ruto ametoa hakikisho kuwa mfumo huo utaendelea bila tashwishi. Hata hivyo amewarai manaibu wakuu wa vyuo vikuu kuwaruhusu wanafunzi kufanya mitihani yao wakisuburi uwasilishwaji wa ufadhili wa serikali.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par