Suivant

Rais Ruto asema waandamanaji waliofanya maandamano ni wahuni

26/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Baada ya maandamano ya hapo jana ambapo zaidi ya watu kumi waliuawa na mamia kujeruhiwa, Rais William Ruto kwenye hotuba yake alisema waandamanaji ni wahuni ambao tendo lao ni sawa na uhaini. lakini uhaini ni nini?

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant