Suivant

Rais Ruto asema wakfu wa Ford Foundation ulifadhili maandamano

16/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Rais William Ruto ametoa onyo kwa wakfu wa Ford Foundation kutoka Marekani ambao anadai unafadhili maandamano ya Gen-Z. Ruto amesema atafanya juhudi kuhakikisha kuwa nguvu zake kama rais zimekomesha vurugu nchini. Vile vile amewataka vijana wajiepushe na maandamano akisema yuko katika harakati ya kutekeleza matakwa ya vijana. Rais alikuwa akizungumza katika kaunti ya nakuru ambapo alikuwa akizindua miradi mbali mbali.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant